Tuesday 12 June 2018

Albamu ya 'YE' ya Kanye West yashika namba moja cati za Billboard



Kanye West ameshika namba moja kwenye chart za “Billboard 200” na album yake mpya ya “Ye”

Album yake imeuza kopi 208,000, Kopi 85,000 ni nakala za kawaida na 120,000 zimetoka online

“Ye” inakuwa album yake ya nane kushika namba moja mfululizo kwenye chart za Billboard 200, Nyingine ni pamoja na “Watch The Throne” album ya pamoja na JAY-Z

Mbali na “Ye” Kanye West ana album nyingine mpya ya pamoja na Kid Cudi “Kids see Ghost”, Kama itafanya vizuri sokoni anaweza akawa amejitoa mwenyewe namba moja kwa kuingiza album nyingine namb

0 comments:

Post a Comment