Wednesday 27 June 2018

Ja Rule, Ashant kuja na album ya pamoja.


Kupitia mtandao wa kijamii wa msanii Ja rule aliweza kuachua ujumbe  kuhusu album ya pamoja ya JAY-Z na Beyonce “Everything is Love” na kuelezea mpango wa kufanya album ya pamoja na Ashanti. (Swipe Left kuona)

Kwenye mahijiano na “Entertainment Tonight” kwenye red carpet ya tuzo za BET #Ashanti amethibitisha ujio wa album hiyo ya pamoja, alifunguka “Listen, me and Rule, it’s so funny because we’ve been talking about that for so long, but I think now he’s like, ‘OK, now it’s time to do it’. So we’re going to carve out the time and make it happen.”

Ashanti na #JaRule wamewahi kushirikiana kwenye ngoma kibao ikiwemo ‘Always On Time‘, ‘Mesmerize‘ na ‘Wonderful‘.

0 comments:

Post a Comment