Tuesday 26 June 2018

BET Awards yamuibua Chris Brown



Chris Brown awachana BET AWARDS, ni baada ya kuondoka mikono mitupu kwenye Tuzo za mwaka huu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Breezy ameandika.
"SIHITAJI TUZO ILI NIWE MFAMLE" - aliandika Breezy ambaye kwenye tuzo za mwaka huu alitajwa kwenye vipengele viwili: Best Male R&B/Pop Artist na Video Director of The Year.
 

ChrisBrown amepitisha miaka mitatu mfululizo (2016, 2017, 2018) akitoka patupu kwenye Tuzo hizo kubwa duniani kwa upande wa watu weusi.

0 comments:

Post a Comment