Thursday 7 June 2018

Mtangazaji Ellen aingia Tanzania 'Kimya kimya'



Mtangazaji maarufu wa kipindi cha “The Ellen Show” Ellen DeGeneres aachia picha kupitia ukurasa wake wa Instagram akiwa nchini Tanzania kwa ajili ya mapumziko

Ellen akiwa na mke wake, Portia De Rossi ambaye ni muigizaji maarufu (Anajulikana zaidi kwa movie za Scream na series ya Scandal)

Wame’share picha wakiwa Serengeti, Tanzania siku chache zilizopita (Swipe Left kuziona picha)

Pia Ellen na Portia walitembelea nchini nyingine za Afrika Mashariki, Kenya na Nchi ya Rwanda ambapo walikutana na Rais Kagame

0 comments:

Post a Comment