Saturday 2 June 2018

Rapper Famous Dex akamatwa New York


Rapper Famous Dex amekamatwa na polisi baada ya kushindwa kufika mahakamani na mahakama kutoa amri kukamatwa na kuwekwa ndani. Famous Dex anashikiriwa kwa public drinking charges baada ya kukamatwa Manhattan kwenye chumba cha hoteli anavuta bangi. Dexter anatarajiwa kupelekwa Bronx kuonana na Hakimu.

0 comments:

Post a Comment