Sunday 24 June 2018

Teyana Taylor amerudi na "KTSE"



Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu hatimae mwanamke wa pekee kutoka label ya GOOD MUSIC, Teyana Taylor ameachia album mpya yenye jina "KTSE" ikiwa na maana ya "Keep That Same Energy". Album hii imetayarishwa na Kanye West na kuwa album ya 5 iliyopita kwenye mikono ya Kanye West kwa mwaka 2018 baada ya kutayarisha album ya Pusha T, Kid Cud, Nas na album yake ya "Ye".

Hii ndio album yenye track nyingi kutoka Label ya GOOD MUSIC kwa mwaka huu, album hii ina track 8 tofauti na "Daytona", "Kid See Ghost" na "Nasir" zenye track 7. Teyana Taylor Kwenye album hii ni track moja tu kafanya Collabo na Kanye West na additional vocals by Ty Dolla Sign and Mykki Blanco.

K.T.S.E. (Keep That Same Energy)  Tracklist:
01. No Manners
02. Gonna Love Me
03. Issues/Hold On
04. Hurry (feat. Kanye West)
05. 3Way
06. Rose in Harlem
07. Never Would Have Made It
08. Wtp

Blogged by @silverracca

0 comments:

Post a Comment