Hiyo baada ya mmoja kati ya wadau wa kundi la whatsapp kudaiwa kumtusi mwenzie kisha kujitoa katika mtandao huo,jambo ambalo polisi nchini India lilimkamata kijana Junaid Khan ambaye ndiye kiongozi katika kundi hilo.
Wazazi wa kijana huyo wamelaani vikali uamizi huo wa mahakama wa kumfunga kijana wao miezi mitano jela huku kosa likiwa la mwingine.
Hata hivyo polisi nchini humo wamegoma kuweka wazi ujumbe wa matusi uliotumwa kupitia kundi hilo la WhatsApp.
Kwa mujibu wa sheria za mtandao nchini India zinaeleza kumshtaki mtumiaji yeyote atakaye sambaza ujumbe wamatusi.

0 comments:
Post a Comment