Beyonce kupitia Instagram ameweka picha ya watoto zake mapacha Sir & Rumi wenye umri wa mwaka mmoja. Beyonce yupo ndani ya Yacht amepumzika baada ya kumaliza tour yao ya OTR II (On The Run II Tour) katika bara la ulaya.
.
.
Katika Picha ya pili Jay-Z yupo na binti yake Rumi, na picha ya mwisho ni Beyonce na mtoto wake wa kwanza Blue Ivy. Beyonce na Jay-Z wataendelea na tour yao USA baada ya kumaliza bara la ulaya. Katika mtandao wa Beyonce.com wameshukuru mashabiki waliojitokeza katika tour yao
.
"Thank you to Europe for the beautiful memories, It's been a pleasure being On The Run with out family, visiting so many incredible places, doing what we love with who we love. We can't wait to comeback. Love, the Carters."
.
.

0 comments:
Post a Comment