Monday 2 July 2018

Album ya Drake yaingia Billboard 200


Album mpya "Scorpion" ya Drake yenye siku 2 tu sokoni, inatabiriwa kushika nafasi ya kwanza katika Billboard 200 kwa mauzo ya nakala 275,000 mpka 300,000 ndani ya wiki moja USA.

Pia album hiyo inaweza kuvunja record ya kusikilizwa mara nyingi ndani ya wiki moja, inatabiriwa kufikisha streams billion 1 kwa USA tu.

0 comments:

Post a Comment