Tuesday 3 July 2018

Billboard 200 (Top 10 Albums of This Week)



Album mpya "Pray For The Wicked" ya band maarufu ya mziki wa Rock, Panic At The Disco imeshika nafasi ya kwanza katika Billboard 200 USA kwa mauzo ya nakala 180,000 (151k pure sales) na 29k zikitokana na streams. Hii ni Album ya pili kwa Panic At The Disco kushika nafasi ya kwanza katika Billboard 200. Band hiyo inaundwa na  Brendon Urie, Ryan Ross, Dallon Weekes na Spencer Smith.

Album ya "?" ya marehemu XXX Tentacion imepanda mpaka nafasi pili ikitoka nafasi ya 3 na XXX Tentacion kubaki na record ya kuwa na album mbili kwenye nafasi 5 za juu za Billboard 200.

0 comments:

Post a Comment