Wednesday 4 July 2018

Sweden yafanikiwa kusonga mbele kombe la Dunia



Timu ya Sweden imefanikiwa kusonga mbele kucheza robo fainali ya michuano hiyo baada ya kuifunga Switzerland goli 1-0

Goli la Sweden limefungwa na Emil Forsberg katika dakika ya 66 ya mchezo

Sweden itacheza na mshindi wa mechi kati ya Colombia na Uingereza katika hatua ya robo fainali

0 comments:

Post a Comment