Tuesday 3 July 2018

Shawn Mendes afikisha billion nyengine YouTube


Video ya "Stitches" ya Shawn Mendes imefikisha viewers billion 1 katika mtandao wa YouTube, na kuwa video yake ya pili kufikisha viewers billion baada ya "Treat You Better". Shawn Mendes ni msanii mwenye umri mdogo anaengoza kwa kutazamwa katika mtandao wa YouTube kwa sasa. Video ya "Stitches" ilitoka mwaka 2015 akiwa na umri wa miaka 17 tu.

0 comments:

Post a Comment