Friday 20 July 2018

Blac Chayna arudiana na kibenten wake YbnalmightyJay



  • Mwanamitindo maarufu Blac Chyna, inaonekana kama karudiana na dogo huyo YGN Almighty Jay mwenye umri wa miaka 18.

    Wawili hao wameonekana pamoja mtaani wakijiachia kwenye ukaribu ambao unaonekana sio wa kawaida - Swipe kushoto kuona picha hizo.

    Vuguvugu la kukumbukana lilianza kuonekana Julai 9 pale ambapo Chyna ali-post picha ya YbnalMightJay na kumshukuru kwa muda wake aliompa kipindi cha mahusiano yao

0 comments:

Post a Comment