Track ya "In My Feelings" kutoka kwenye album mpya ya Drake ya "Scorpion" imekamata nafasi ya kwanza katika Billboard Hot 100, na kuwa track ya 3 kutoka kwenye album hiyo kukamata namba 1 katika Billboard Hot 100, na kufikia record ya Justin Bieber katika album ya "Purpose" ambayo track 3 kutoka kwenye album hiyo zilifika namba 1 katika Billboard Hot 100.
Pia nyimbo hiyo inakuwa nyimbo ya 6 kwa Drake kushika nafasi ya kwanza katika Billboard Hot 100 toka aanze mziki.
0 comments:
Post a Comment