Saturday, 28 July 2018

Card B kuachia video 'Ring' na Kehlan



Cardi B anatarajia kuachia video ya track ya "Ring" akiwa na Kehlani mwezi August.
Nyimbo ya "Ring" ipo kwenye album ya "Invansion Of Privacy" ambayo ilitoka April 5 mwaka huu.

0 comments:

Post a Comment