Waigizaji maarufu nchini Marekani priyankachopra kutoka India na nickjonas wavalishana pete baada ya kuwa wapenzi kwa muda wa miezi miwili.
Magazeti maarufu nchini Marekani yameandika kuwa priyankachopra alivalishwa pete siku ya birthday yake akiwa anafikisha miaka 36.
Muongozaji maarufu kutoka nchini India Ali Abbas Zafar pia alithibitisha suala la kuvalishana pete kati ya wawili hao baada ya priyankachopra kumwambia kuwa ana udhuru mkubwa na hatoweza kufika kwenye Set ya movie mpya na muigizaji mwenzie kutoka India beingsalmankhan iitwayo BHARAT .

0 comments:
Post a Comment