Sunday, 15 July 2018

Ufaransa waibuka mabingwa Kombe la Dunia



Ufaransa ndio mabigwa wapya wa kombe hilo kwa mwaka huu. Imeshinda kombe hilo kwa mara ya pili tangu washinde mwaka 1998

Katika michuano hii wachezaji mbalimbali wameshinda tuzo tofauti;
Mchezaji bora - Luka Modric(Croatia)
Mfungaji bora - Harry Kane(England)
Kipa bora - Thibaut Courtois(Ubelgiji)
Mchezaji bora mdogo - Kylian Mbappé(Ufaransa)

0 comments:

Post a Comment