Wednesday 8 August 2018

'No Brainer' yashika nafasi ya tano chati za Billboard



Billboard; Nyimbo ya "No Brainer" ya DJ Khaled akiwa na Justin Bieber, Chance The Rapper na Quavo imeingia kwenye Top 10 ya billboard Hot 100 na kushika nafasi ya 5 baada ya kuuza nakala 239,000 na kusikilizwa mara million 29.8 mitandaoni na kupata radio airplay mara million 35.8, hii inakuwa nyimbo ya nne kwa DJ Khaled kuingia kwenye Top 10.
.

0 comments:

Post a Comment