Wednesday 8 August 2018

Aliyempiga picha Beyonce amwaga machozi



Baada ya kupata shavu la kumpiga picha muimbaji Beyonce kwenye Jarida la Vogue na jana picha hizo kutoka rasmi, Tyler ametuweka wazi kuwa baada ya kuona taarifa hiyo aliangua kilio mara 3 asubuhi hiyo yenye kumbukumbu nzuri kwake
Tyler Mitchel '22' alipewa shavu hili na Queen bey na kumfanya kuwa mpiga picha wa kwanza mweusi mwenye umri mdogo kupiga picha Exclusive za Jarida hilo tangu lianzishwe miaka 20 iliyopita.

0 comments:

Post a Comment