Thursday 23 August 2018

Bobi wine aondolewa mashtaka yanayomkabili



Taarifa za hivi punde kutoka Uganda ni kwamba serikali imemuondolea mashtaka mbunge wa Kyadondo Robert Kyagulanyi.
Mbunge huyo ambaye aliwahi kuwa mwanamuziki nchini kwa jina maarufu Bobi Wine leo alitarajiwa kurudishwa katika mahakama ya kijeshi mjini Gulu kaskazini mwa Uganda.
Mawakili wake awali walijuzwa kuwa kesi itasikilizwa katika kambi ya kijeshi ya Makindye anakozuiliwa mjini Kampala.

0 comments:

Post a Comment