Wednesday 22 August 2018

Tiwa Savage akanusha kutoka kimapenzi na Wizkid



Sexy Diva katika mziki nchini Nigeria, Tiwa Savage kavunja ukimya baada ya kuhusishwa kutoka kimapenzi na msanii Wizkid

Wawili ambao wameonekana kwa muda mrefu wakiwa pamoja hata kama ikitokea mmoja wao hana show.

Akizungumza na SoundCity Radio ya nchini humo,Tiwa Savage amedai kuwa urafiki kati yake na wizkid una mipaka na kamwe hajawahi kutoka nae kimapenzi.

Hatahivyo Tiwa Savage amesema kuwa anapuuzia Yale yote anayohusishwa.


I heard all sorts of stories about Wizkid and I, but I chose to ignore them. At a point, people said I was dating Humblesmith; later they mentioned another artiste"

0 comments:

Post a Comment