Thursday 30 August 2018

Ed Sheeran afunga ndoa ya siri



Mkali wa muziki kutoka nchini Uingereza Ed Sheeran hivi karibuni amethibitisha kufunga ndoa ya siri na mpenzi wake wa muda mrefu Cherry Seaborn.

Kupitia Interview aliofanya na mtandak wa Access Online aliulizwa kuwa ni lini ataoa Ed Sheeran alionekana akipandisha mabega juu, na kuonesha kidole kikiwa na pete .

Ed ambaye Mara nyingi ameonekana kutoweka vitu vyake hadharani amesema kuwa si mpenzi wa kutoa siri zake kwa watu.

0 comments:

Post a Comment