Monday 20 August 2018

Ngoma mpya kutoka kwa mkali Harmoniza 'Atarudi'

  •  
    Ni wimbo unaozungumzia jamaa aliyetelekezewa watoto na Mkewe Kisa na Mkasa ni Ukata.. Hali Duni ya Maisha na Umasikini, Mwanamke huyo Akimbilia kwa mabwana wenye pesa na Kuanza kuponda Raha... Huku Nyuma watoto kawaacha wanalelewa na baba kiugumu huku kila siku watoto wanamuuliza baba, Mama yu wapi?? Baba kishingo upande ana kaza moyo na Kuwaambia ATARUDI.... Miaka 20 Baadae Jamaa anapata pesa na Kuwa tajiri na hatimaye anaanzisha Maisha mapya... Ghafla Yule mwanamke alimkimbia anarudi akiwa kapigika sana akitaka warudiane na baba watoto lakini inakuwa ni too late... Watoto hawamtumbui mama na hawamtaki kabisa kwani washakuwa watu wazima na Baba tayari Alishawasogeza kimaisha 
     
    Itazame hapa 

0 comments:

Post a Comment