Friday 17 August 2018

'Queen of Soul' Aretha Franklin afariki Dunia


Mwanamuziki mkongwe wa RnB na Soul kutoka nchini Marekani Aretha Franklin maarufu kama 'Queen Of Soul' amefariki Dunia mapema leo baada ya kusumbuliwa na Kansa kwa muda mrefu.

Marehemu Aretha amefariki akiwa na miaka 76' atakumbukwa sana kutokana nakuacha historia kubwa katika kupigania haki juu ya ubaguzi kwa kupitia vibao vyake.

0 comments:

Post a Comment