Sunday 19 August 2018

Rapper Kodak Black aachiwa huru



Hatimae Rapper Kodak Black aachiwa huru kutoka katika kifungo alichokua anakitumikia.

Rapper huyo alishtakiwa na kufungwa kwa kosa la Kutomjali mtoto wake (Child Neglection) , kukutwa na silaha (unlawful posession of firearm), na kukutwa na Bangi (Marijuan Posession). Baada ya kutoka gerezani rapper huyo alichukuliwa na Gari aina ya Bentley na kupelekwa moja kwa mama wa mtoto wake ili aweze kumuona mwanae.

0 comments:

Post a Comment