Saturday 11 August 2018

Usher Raymond atangazaa kuliuz jumba lake la kifahari



Mwanamuziki wa RnB kutoka nchini Marekani Usher Raymond ametangaza kuiuza nyumba yake ya jijini Los Angeles kwa kiasi cha dola million 3.74 sawa na shili billion 7.2.

Usher ambaye aliinunua nyumba hiyo mwaka 2015 kwa kiasi cha dola million 4, .

Nyumba hiyo ya usher yenye ukubwa wa mita mraba 4,260 huku ikiwa na vyumba vitano jumba la sinema inatajwa kuwa ni moja kati ya jumba la kifahari katika jiji hill la Los Angeles 6.
.

0 comments:

Post a Comment