Serena mwenye umri wa miaka 36, alijifungua mwaka jana na amekuwa akirejea katika mchezo huu na mwezi Julai alifika katika fainali ya kuwania taji la Wimbledon nchini Uingereza.
Saturday, 11 August 2018
Serena Williams ang'atuka katika mashindano ya Roger Cup
Serena mwenye umri wa miaka 36, alijifungua mwaka jana na amekuwa akirejea katika mchezo huu na mwezi Julai alifika katika fainali ya kuwania taji la Wimbledon nchini Uingereza.
0 comments:
Post a Comment