Katika mechi ya fainali kwa
upande wa wanaume iliyomalizika asubuhi hii, ya michuano ya US-Open,
Novak Djokovic wa Serbia amepata ushindi wa seti 6-3, 7-6 na 6-3 dhidi
ya Martin Del Potro wa Argentina.
Huu unakuwa ni ubingwa wa tatu kwa Djokovic kwenye michuano ya US-Open na anaifikia rekodi ya Peter Sampras aliyekuwa anashikilia rekodi hiyo kwa wanaume.
Lakini kwa idadi ya mataji makubwa ya tennis, ubingwa huu unakuwa ni wa 14 kwa Djokovic na sasa.

0 comments:
Post a Comment