Msimu mpya wa ligi ya klabu
bingwa ulaya wa mwaka 2018-2019 unaanza rasmi usiku wa leo ambapo jumla
ya mechi nane kati ya timu kutoka makundi A, B, C na D zitashindana
katika michezo ya mzunguko wa kwanza.
Miongoni mwa mechi zitakazopigwa kesho, PSG ya Ufaransa itakuwa na kibarua kizito ugenini dhidi ya Liverpool ya Uingereza, nayo Inter Milan itakuwa nyumbani nchini Italia kuikatibisha Tottenham ya Uingereza.
Barcelona ya Hisapania itakuwa nyumbani kucheza na PSV ya Uholanzi, Monaco ya Ufaranza ikicheza na Atletico Madrid ya Hispania.
Nayo Crvena Zvezda ya Serbia itacheza dhidi ya Napoli ya Italia, Schalke ya Ujerumani dhidi ya Porto ya Ureno, Lokomotiv Moscow ya Urusi itakuwa ugenini nchini Uturuki kucheza na Galatasaray, na Club Brugge ya Ubeligiji itaikaribisha Borussia Dortmund ya Ujerumani.

0 comments:
Post a Comment