Sunday 29 October 2017

Christiano Ronado;Rasmi mwanagu mpya kuitwa?

 

Mwanasoka anayetikisa Duniani Christiano Ronaldo raia wa Ureno na mchezaji kutoka Real Madrid leo kupitia mtandao wa Instagram kaafahamisha mashabiki wake kuwa mtoto wake wa kike ambaye anasubiriwa kwa shauku kubwa kumpata na mpenzi wake Georgina Rodriguez ataitwa Alana Martina.

Cristiano Ronaldo anasema “Mimi nimechagua jina la kwanza na mpenzi wake Georgina amechagua la pili, jina la mtoto wangu wa kike litakuwa Alana Martina, Matumaini yangu ni jina zuri”.
TMZ Imeripoti kuwa ni takribani siku 23 sasa zimebaki mpaka mtoto huyu kuja duniani
Ronaldo ana watoto watatu tayari, Cristiano Ronaldo Junior na mapacha Eva Martia na Mateo.

0 comments:

Post a Comment