Monday 30 October 2017

Mh Zitto Kabwe aandika haya baada ya Lazaro Nyalandu kujiuzulu


    

Baada ya alyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Lazaro Nyalandu kuchukua hatua ya kujiuzulu nafasi yake ndani ya CCM na kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge kupitia (CCM) kwa kile alichodai kutofurahishwa na hali ya kisiasa yanayoendelea nchini, Mh Zitto Kabwe ametumia kurasa yake ya Facebook kutoa maneno haya Kuhusumbunge huyo.


0 comments:

Post a Comment