Msanii kutoka nchini Marekani Remmy Ma ambaye kwasasa amesajiliwa katika lebo ya Columbia Records imeripotiwa kuwa anajipanga kutoa wimbo wenye kumkashifu 'Diss'rapa wa kike Nicki Minaj atakayo mshirikisha Lil Kim.
Wimbo huo umetajwa kuwa ni ‘Wake Me Up’ Ft Lil’ Kim na tayari wamefanya video ya wimbo huo.
Baada ya mashairi yanayomlinda Nicki Minaj ni pamoja na “That crown, I’m gon’ take that shit / ‘Cause you a clown and homie don’t play that shit.”
Mistari hii ina DISS mahusiano ya Nicki Minaj na Nas “I heard he lay that ...., You let them filet that fish / You just met him, how he bae that quick?”
Tayari Remy na Nicki wameshabadilishana maneno kupitia Diss track zao “shETHER,” “Another One,” na “No Frauds.”
Kinachosubiriwa kwa sasa ni album mpya ya Remy Seven Winters, Six Summers,
0 comments:
Post a Comment