Akiwa bado anashika kasi katika Billboards na chati nyinyinge za muziki duniani mwanadada Cardi B, sasa amekula shavu la kuwa katika ukurasa wa mbele wa jarida la New York Magazine, huku kichwa cha habari cha jarida hilo kikisomeka "Cardi B was made to be famous''
Cardi b, anaendelea kukimbiza rapa wengine wa kike kwa namna tofauti
tofauti na ikumbukwe kuwa wiki mbili zilizopita Cardi b alikuwa tena
katika ukurasa wa mbele wa jarida la Rolling Stone, na moja ya interview
katika jarida hilo Cardi b kafunguka hivi.."I cannot turn my life back around," she said. "I'm already a public
figure, I'm famous. … It's like, I might as well keep it going, might as
well make the money. People are always going to talk shit – I cannot
make myself unfamous."
Anasema "siwezi kurudisha maisha yangu nyuma, mimi ni mtu mkubwa
katika jamii, ni maarufu, nahitaji kusonga mbele pamoja na kutengeneza
pesa, watu wanaongea upuuzi muda wote, siwezi kujizuia kutokuwa maarufu"
0 comments:
Post a Comment