Tuesday 7 November 2017

Kanye West na Kim Krdashian wauza jengo lao

 

 Rapper Kanye West na mkewe Kim Kardashian wameamua kuuza jumba lao la kifahari lililopo maeneo ya Los Angeles Nchini Marekani.

Jumba hilo lenye ukubwa wa square mita 10,000 limenunuliwa na mwanafalsafa mmoja kutoka nchini Ukraine ,Marina Acton ambaye hakusita kulinunua kwa kiasi cha dola milioni17.8 bei tofauti na walioinunulia mwaka 2013 ambayo ilikuwa dola milioni 9.

0 comments:

Post a Comment