Saturday 25 November 2017

Mafikizolo waja na Albamu mpya 'pasua kichwa'

Kundi la muziki kutoka nchini Afrika Kusini, Mafikizolo leo wameachia albamu yaoiitwayo ’20’ amabyo ikibeba maan ya miaka waliokaa katika kiwanda cha burudani duniani tangu kuanza kwao.


Albamu ya ’20’ kutoka kwa kundi hilo limebeba mastaa wa kubwa wa muziki wakiwemo DJ Maphorisa, Wizkid, KLY, Yemi Alade, Jah Prayzah na wengineo wengi.
Uzinduzi wa albamu hiyo ulienda sanjari na sherehe ya uuzaji wa  albamu hiyo ya ’20’

0 comments:

Post a Comment