Monday 20 November 2017

Mkutano wa nne wa kimataifa wa mitandao kuanza Desemba


Mkutano wa nne wa kimataifa wa mtandao wa Internet utafanyika kuanzia tarehe 3 hadi 5 mwezi ujao, huko Wuzheng, mkoani Zhejiang. Madhumuni ya mkutano huo wenye kauli mbiu "kuendeleza uchumi wa kidijitali, na kuhimiza ufunguaji mlango na kunufaika kwa pamoja----kushirikiana kujenga jumuiya yenye mustakabali wa pamoja ya mtandao wa Internet", ni kujumuisha mafanikio ya uvumbuzi wa sayansi na teknolojia mpya, kuchangia busara kwa ajili ya maendeleo na usimamizi wa mtandao wa Internet, na kufikia makubaliano.

0 comments:

Post a Comment