Saturday 18 November 2017

Mwingulu amwondoa adui wa Baba wa Taifa 'Ujinga'


Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba akiwa amepozi baada ya kumaliza hafla ya utoaji shahada hiyo.

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba leo amehitimu Shahada ya Uzamivu (PHD) ya Uchumi kwenye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) ambapo mahafali hayo yalifanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar. Mahafali hayo yalihudhuriwa na mkuu wa chuo hicho ambaye ni rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwet.

0 comments:

Post a Comment