Monday 27 November 2017

RAYVANNY KUPATA MTOTO WA PILI




Mchumba wa msanii wa bongo fleva Rayvanny kutoka WCB, Fayma anatamani kupata mtoto wa pili na staa huyo. Fayma alipost picha katika ukurasa wake wa Instagram na kuacha ujumbe ulioshangaza watu "❤️🌺 sijui niongeze mwengine ??" Ikiasharia anatamani kuongeza mdogo wa Jaydan.

0 comments:

Post a Comment