Tuesday 28 November 2017

Wandishi 8 wa habari wapewa faini kwa kutoa Taarifa za uongo juu ya Rais Museveni



President Yoweri Museveni of Uganda is aged 73, while the current law blocks candidates over 75 
Mahakama nchini Uganda imepiga faini magazeti  nane,wahariri pamoja na waandishi wa habari kwa kutoa habari za uongo juu ya habari za uongo zilizotolewa juu ya Rais Yoweri Museveni.
Waandishi wa habari wa Gazeti  Red Pepper newspaper walikamatwa wiki iliyopita kutokana na kutoa taarifa juu ya rais kutaka kupindua serikali ya Rwanda kitu ambacho msemaji wa serikali Solomon Muita alikataa kwa niaba ya sserikali juu yaa swala hilo.
 
Hakimu James Ereemye alitoa hukumu hiyo ya faini na iwapo watashindwa basi wote waliohusika watatumikia kifungo cha miaka saba.

0 comments:

Post a Comment