Monday 6 November 2017

Wiz Khalifa kaachia listi ya albamu yake ijulikanayo kama (LAUGH NOW, FLY LATER)


Msanii kutoka nchini Marekani na pia kiongozi  mkuu kutoka kundi la Taylor Gang Wiz Khalifa amechia listi ya nyimbo zitakazokuwa katika albam yake mpya, Laugh Now, Fly later, ambayo inatarajiwa kuachia siku ya ijumaa November 10. Wiz ambaye katika project hiyo mpya amemshirikisha msanii mmoja tu ambaye ni Casey veggies katika nyimbo zote 10 ambazo zipo.

1. Royal Highness f. Casey Veggies
2. Letterman
3. Figure It Out
4. Plane 4 U
5. No Dirt
6. Long Way To Go
7. Global Access
8. City Of Steel
9. Weed Farm
10. Stay Focused

0 comments:

Post a Comment