Sunday 31 December 2017

BOW WOW atema cheche kutembea na Kim Kardashian


Bow Wow atoa siri ambayo aliiweka kwa muda mrefu na sasa kaamua kufunga mwaka vyema , baada ya mwishoni mwa mwaka jana alisema  kuwa ana ndege yake binafsi sasa mwaka huu kaja na hii kwamba alishawahi kutoka kimapenzi na Kim Kardashian.

Katika mahojiano na Hollwood Unlocked Bow Wow amesema ameshawahi toka na Mrs Kanye na walifanya siri ili asijue mtu yoyote.
"We was cool, we remained friends,” Bow Wow said And this was right before Reggie Bush,” Bow Wow explained at the 49-minute mark. “The reason nobody knew is because of how I move. We kicked it hard … I’m just so nervous because I never really dated outside my race before, this is different for a nigga. I don’t know how my fans going to look at it … so I kept that shit low and nobody really knew"

0 comments:

Post a Comment