Kim Kardashian, Kanye West, Christmas, Christmas Present
Instagram
"Best husband alert!"
Mwanamitindo maarufu kutoaka nchini Marekani Kim Kardashian jana ameonesha zawadi aliyopewea na mume wake ambaye ni mwanamuziki Kanye West katika siku ya Boxing Day ambayo hufanyika kila tarehe 26 Disemba .
Ndani ya boksi la zawadi aliowekewa Kim kulikuwa na Mdoli wa Disney,Kadi za Amazon,soksi za adidas pamoja na earphone ,kupitia ukurasa wake wwa instagram Kim aliandika kuwa'Best Husband alert'