Wednesday 27 December 2017

Mashabiki kumpigia kura mchezaji bora Afrika

Shirikisho la soka barani Afrika ambalo liko chini ya kiongozi Ahmad Ahmad katika kipindi anaingia madarakani kama aliahidi kwamba atahakikisha mabadiliko katika maswala ya kiutendaji ndani ya shirikisho hilo.

Katika kipindi cha miaka kumi sasa shirikisho hilo limeanza kufanya mabadiliko kwa kuongeza kipengele kingine cha kumpata mchezaji bora wa Afrika, ukiacha mfumo uliozoeleka awali kwamba, makocha na manahodha wa timu za taifa ndio walikuwa na jukumu la kuchagua kwa kupiga kura kwa ajili ya mchezaji bora wa bara la Afrika.makocha pamoja na manahodha wa timu za taifa, sasa mashabiki nao, watakuwa na fursa ya kuchagua mchezaji bora wa bara la Afrika.
Wachezaji ambao wameingia fainali kuwania tuzo ya mchezaji bora Afrika ni Mohamed Salah, Sadio Mane na Pierre-Emerick Aubameyang

0 comments:

Post a Comment