Kisiwa cha Barbados, kilichopo nchini Marekani kimemtunusu mwanamuziki Rihanna kwa kumpa mtaa wenye jina lake.
Robyn Rihanna Fenty, maarufu kama Rihanna mwanamziki na muigizaji super star kutoka visiwa vya Barbados. Alizaliwa mitaa ya Saint Michael huko kwao Barbados na kukulia katika mitaa ya Bridgetown.
Mtaa wa Bridgetown umebadilishwa jina na uongozi wa mtaa huo na kuitwa Rihanna Drive kwa ajiri ya kumpa heshima na kutambua mchango wa msanii huyo katika kutangaza visiwa hivyo kupitia sanaa yake.
Baada ya kupewa jina la mtaa, Riri ameushukuru uongozi wa kisiwa hicho kwa kumpatia heshima hiyo.
“My home. My whole life was shaped on this very road. I was just a little island girl riding bikes, running around barefoot, and flying kits in the cemetery, but I had BIG dreams. Dreams that were born and realized right here,” amesema Riri
Akaongeza “Thank you to my family, my country, and the people of Westbury New Road,” she continued. “You will forever be a part of who I am, and for that, I am honored to have this place named after me.”

0 comments:
Post a Comment