Mchezaji wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Togo, Emmanuel Adebayor anatoka kimapenzi na mrembo kutoka Namibia, Dillish Mathews.
Diamond akiwa na Adebayor
Dillish Mathews mshindi wa Big brother na alishawahi kuhusishwa kuwa kwenye mahusiano na super star kutoka Tanzania Diamond Platnumz, sasa hivi yupo kwenye mahusiano na Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Emmanuel Adebayor.
Wawili hao wanafanya mapenzi yao kwa siri lakini jana waliweka hadharani baada ya Dillish kupost picha Snapchat akiwa na Adebayor wakila bata Uturuki.

0 comments:
Post a Comment