Shambulizi hilo lilitokea saa 4 na dakika 30 mchana kwa saa za huko, wakati washambuliaji wawili walipolipua mabomu waliyovaa ndani ya jengo ambapo kuna ofisi za shirikisho moja la utamaduni na ofisi ya vyombo vya habari.
Habari zinasema, idadi ya vifo huenda ikaongezeka kutokana na majeruhi wengi kuwa na hali mbaya.
Mpaka sasa hakuna kundi lolote kutangaza kuwajibika na shambulizi hilo.
0 comments:
Post a Comment