Mchezaji namba moja kwa viwango
vya ubora wa tennis kwa upande wa wanawake nchini Uingereza Johanna
Konta, jana amejikuta akiondolewa kwenye mashindano ya Australia baada
ya kufungwa na mchezaji namba 123, Bernarda Pera wa Marekani.
Konta ambaye ni namba tisa kwa ubora duniani alifungwa kwa seti 6-4
na 7-5 na hicho kikiwa ni kipigo cha 8 katika mechi 11 alizocheza tangu
mwezi Julai mwaka jana.
Na kutokana na ushindi wa jana, Bernarda atakutana na Barbora Strycova wa Czech katika mechi ya raundi ya tatu.
Na kutokana na ushindi wa jana, Bernarda atakutana na Barbora Strycova wa Czech katika mechi ya raundi ya tatu.
0 comments:
Post a Comment