Klabu ya Chelsea imetangaza kuwa
bado ina nia ya kumsajili mashambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester
City Edin Dzeko anayecheza katika klabu ya Roma ya nchini Italia.
Chelsea imemtoa kwa mkopo Michy Batshuayi katika klabu ya Roma, na
ikitoa fedha kiasi ya pauni milioni 50 kwa ajili ya kumpata Dzeko na
beki wa timu hiyo Emerson Palmieri.
Pamoja na hayo, Roma bado wameomba nyongeza ya pauni milioni 15 ili kufikia muafaka.
Pamoja na hayo, Roma bado wameomba nyongeza ya pauni milioni 15 ili kufikia muafaka.
0 comments:
Post a Comment