Chama tawala cha Afrika Kusini
ANC kimesema kimejadili suala la kumwondoa madarakani rais Jacob Zuma wa
nchi hiyo, lakini hakuna ratiba iliyopangwa kufanya hivyo.
Katibu mkuu wa ANC Bw Ace Magashule amesema kamati tendaji ya taifa ya chama hicho haijafanya uamuzi wa kumwita na kumhoji rais Zuma, ambaye anashinikizwa kujiuzulu. Kamati hiyo imekubali kuhakikisha uratibu kati ya chama chake na serikali kuhusu jambo hilo.

0 comments:
Post a Comment