Monday 8 January 2018

Gigy Money ameripoti BASATA-PICHA

PICHA KWA HISANI YA MILLARD AYO


Baada ya kauli ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza kumtaka Gigy Money kufika Ofisini kwake  mwenyewe kabla ya Serikali haijamtafuta , Leo January 8 2018  Picha 10 za Gigy Money akiingia Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) aliwasili na mpenzi wake Mo J, Msanii huyo ameonekana akiwa mjamzito.







0 comments:

Post a Comment